Book Name:Siyah Faam Ghulam

Basi baadhi ya wale wasafiri katika msafara ule wakatoka kwenda kumuangalia na wakamuona yule mtumwa yupo juu ya ngamia wake.

Wakamleta mbele ya Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akali chukua lile gudulia la ngozi na akaupitisha mkono wake uliobarikiwa juu yake na akawaita, ‘Njooni enyi wenye kiu! Ikateni kiu yenu.’ Basi wale wasafiri wote wakanywa yale maji, wakaikata kiu yao na wakajaza vyombo vyao. Baada ya kuona ule muujiza, yule mtumwa mwenye ngozi nyeusi akaubusu mkono ulio barikiwa wa Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم na Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akaupitisha mkono wake kwenye uso wa yule mtumwa.

Ile sura yake yenye ngozi nyeusi ikabadilika kabisa na ikawa nyeupe yenye kungara kama mwezi uliotimia unao angaza katika usiku wa kiza kama mchana. Akapatwa na mshangao mkubwa yule mtumwa na akaitamka shahada na akaingia katika Uislamu na moyo wake pia ukanawirika.

Alipokwenda kwa bwana wake baada ya kuwa Muislamu, bwana wake hakuweza kumtambua kama yeye ndie mtumwa wake. Yule mtumwa akasema, ‘Mimi ni mtumwa wako!’ Bwana wake akasema ‘Mtumwa wangu alikuwa mweusi.’ Mtumwa akasema, ‘Unasema kweli bwana, lakini nimesilimuTotal Pages: 37

Go To