Book Name:Siyah Faam Ghulam

VCD iliyotolewa na Maktaba-tul-Madinah ya Dawat-e-Islami. Baada ya kufika nyumbani nikaangalia ile VCD[1].

اَلْـحَمْـدُ لـِلّٰـه عَزَّوَجَلَّ kila nilipoendelea kuiangalia huku ukungu wa imani potofu nilizokuwa nazo uliendelea kusafishika. Ile VCD ilipo maliza tu moyo wangu  ukaanza kuhisi moja kwa moja kama hawa watu waliokuwa wakionekena katika ile VCD ni miongoni  mwa watu wema kabisa na sura zao sio sura za waongo. Nikaweka ahadi na moyo wangu kama Sitawacha kabisa imani za watu wema kama wale niliowaona katika ile VCD. Kisha nikaziharibu zile kaseti 30 na video nilizotoka nazo kule nje ya nchi ili asije akapotea muislamu yeyote yule kwa kuziangali.’ Kwa uwezo  wa Allah عَزَّوَجَلَّ Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم amefunuliwa mambo ya ghaibu na yeye anawafunulia wengine, basi hii hapa ni simulizi yenye mafunzo isome na ifurahie.

7. Habari ya ghaibu

Sayyidatuna Unaysah رَضِیَ اللهُ تَعَالٰی عَنْهَا amesimulia: ‘Baba yangu aliniambia, ‘Nilipokuwa naumwa, Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم alikuja kunitembelea na akasema, ‘Maradhi haya hayatakusbabishia madhara yoyote yale lakini utakuwa na hali gani utak[1] jina la hii VCD ni ‘Didar-e-Amir-e-Ahl-e-Sunnat’. Kainunue katika maduka ya Maktaba-tul-Madinaih au iangalie katika mtandao moja kwa moja www.dawateislami.net.

[Majlis Maktaba-tul-Madinah]Total Pages: 37

Go To