Book Name:Siyah Faam Ghulam

Itandike kashda yako. Nikaitandika kashda yangu. Mtume wa rehema na mtetezi wa umma na wa mwanzo kuingia peponi صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akaweka kitu fulani kwa mkono wake wenye baraka kwenye ile kashda na akasema, ‘Ewe Abu Hurah رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُ! Ichukue kashda yako na ikumbatie.' Nikafanya kama nilivyo agizwa. Tokea hapo (kumbukumbu yangu ikawa nzuri kiasi kwamba) sikukisahau tena kitu chochote kile alichokuwa akikisema.

 (Sahih Bukhari, juz. 1, uk. 62, 94, hadith 2350)

صَلُّوۡا عَلَى الۡحَبِيۡب           صَلَّى اللّٰهُ تَعَالٰى عَلٰى مُحَمَّد

Kuwa na kawaida ya kusikiliza maongezi yanayotoa muamsho kuhusu sunna

Ndugu zangu wapenzi waislamu! Tumekuja kujua kwamba Allah عَزَّوَجَلَّ amembariki Mtume wake صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم kwa kumpatia nguvu zisizo za kawaida. Mtume wetu صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم  alivyokuwa na uwezo wa kumpa mtu kitu kinacho onekana vile vile alikuwa na uwezo wa kumpa kisicho onekana, kama alivyompa kumbukumbu ya ajabu swahaba wake bwana wetu Sayyiduna Abu Hurayrah رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُ.

Ni wito wangu muendelee kuwa karibu sana na mazingira mazuri ya madani ya Dawat-e-Islami, mazingira ambayo

 Total Pages: 37

Go To