Book Name:Siyah Faam Ghulam

Imam Abu Bakr ‘Abdur Razzaq عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الْـمَنَّانْ, mwanachuoni wa hadithi anaetambulika amesimulia katika kitabu chake 'Al-Musannaf' kutoka kwa Sayyidna Jabir Bin ‘Abdullah Ansari رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُمَا ambae amesimulia: "Nilisema, 'Ewe Rasulallah (صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم)! Ninawatowa wazee wangu muhanga kwa ajili yako! Tafadhali niambie kitu gani kilicho umbwa na Allah عَزَّوَجَلَّ mwanzo kuliko vyote?' Yeye Mtume
صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akanijibu, 'Ewe Jabir! Bila ya shaka, Allah عَزَّوَجَلَّ ameiumba Nuru ya Mtume wako kipenzi صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم kutoka katika Nuru yake kabla ya kuumba ulimwengu wote.’ (Fatawa Razawiyyah, juz . 30, uk . 658)

Ndugu zangu wapenzi Waislamu! Kwa kupata maelezo zaidi kuhusu Nuru basi kajipatie faida zaidi kwa kukisoma kitabu 'Risala-e-Nur’ kilichoandikwa na mufti mwenye kutambulika Ahmad Yar Khan عَـلَيْهِ رَحْمَةُ الـرَّحْمٰنْ.         

صَلُّوۡا عَلَى الۡحَبِيۡب           صَلَّى اللّٰهُ تَعَالٰى عَلٰى مُحَمَّد

6. Alimpa kumbukumbu nzuri

Sayyiduna Abu Hurayrah رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُ amesema, ‘Nilisema kumwambia Mtume mtukufu صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم, ‘Ewe Rasulallah صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم! Mimi huwa nasikiliza
kile unacho kisema lakini baadae nakisahau.’ Mtume
صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akanijibu, ‘Abu Hurayrah رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُ!

 Total Pages: 37

Go To