You Can Also Visit Our Countries Website:
History

Exact Search

Listing 5000+ Islamic books in more than 30 languages. Read online or download in PDF.

Jinnat ka Badshah | Mfalme wa majini

book_icon
Mfalme wa majini

na Ghaus-e-A'zam رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه. Ikaniijia wazo moyoni mwangu ni jambo la ajabu wakati mimi nikiwa ninaelekea kwaajili ya ijumaa pamoja na Musshid wangu basi walikuja watu wengi mno kumsalimia na kumpa mkono hata sehemu ya kupita ilikuwa tabu, lakini leo hata mtu hanyanyui macho na kuangalia! Bado nilikuwa ninawaza tu Ghaus-e-A'zam رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه akaniangalia na kutabasamu, Ghafla wakatokeza watu na kumpa mkono hadi baina yangu mimi na Ghaus-e-A'zam walituzingira watu na pale pale nikawaza moyoni kuwa bora hali ya mwanzo ilikuwa afadhali baada ya kuja wazo moyoni tu yeye رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه akaniambia: Ee Umar! wewe ndie ulikuwa unawahitaji watu, wewe hujui kuwa nyoyo za watu zipo kwenye ganja yangu, kama nikitaka wananifuata mimi na nikitaka ninaweza kuweka mbali. (Bahjat-ul-Asrar, uk. 149)

Kunjiyān dil kī Khuda bali Tujhay din Aisi kar,

Ke Yeh Sina ho mahabbat ka khazanah tayrā

Allah amekupa funguo za  nyoyo katika mkono wako

 Upendo wako na ibada zako, nyoyo zetu zina imarika 

4. Nisaidie  mimi Ghaus-e-A'zam رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه

Sheikh Bishr Qarzī رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه amesema, ‘Siku moja nilikuwa (safarini) na msafara wa biashara wa ngamia 14 waliobeba sukari. Sote tulikaa katika kambi ndani ya pori lenye kutisha katika usiku ule, katika sehemu ya kwanza ya usiku ule, ngamia wetu wanne tuliowabebesha sukari wakawa wamepotea. licha

BOOK TOPIC

BOOK TOPIC

Sirat-ul-Jinan

SIRAT UL JINAN

MOBILE APPLICATION

Marfatul Quran

MARIFATUL QURAN

MOBILE APPLICATION

Faizan-e-Hadees

FAIZAN-E-HADEES

MOBILE APPLICATION

Prayer Time

PRAYER TIME

MOBILE APPLICATION

Read and Listen

READ AND LISTEN

MOBILE APPLICATION

Islamic EBooks

ISLAMIC EBOOKS

MOBILE APPLICATION

Naat Collection

NAAT COLLECTION

MOBILE APPLICATION

Bahar-e-Shariyat

BAHAR E SHARIYAT

MOBILE APPLICATION