2. Mfuasi wa kweli wa Ghaus-e-A’zam
You Can Also Visit Our Countries Website:
History

Exact Search

Listing 5000+ Islamic books in more than 30 languages. Read online or download in PDF.

Jinnat ka Badshah | Mfalme wa majini

book_icon
Mfalme wa majini

watoto wadogo wa Massayyid, kiasi kwamba alikuwa anawabeba na kuzunguka nao na kuwa nunulia pipi ama tamu tamu.

Mpenzi huyu alifariki, maiti ilifunikwa shuka

watuwalikusanyika, ghafla Mpenzi huyu aliondoa shuka na kukaa, watu wakawa na hofu na kushangaa huku wakianza kukimbia, yeye akawaita kwa sauti kubwa na kusema : Msiogope hebu nisikilizeni kwanza! Watu walipofika karibu yeye akasema ninawaambieni neno yenyewe ni hivi, sasahivi Murshid[1] wangu, Sheikh 'Abd-ul-Qadir Jilani aliniamsha kwa kunipiga teke na kusema: «Muridi wangu huwezi kufa bila ya kutubu, amka utubu » اَلْـحَمْـدُ لـِلّٰـه عَزَّوَجَلَّ roho yangu ilirudi ili niweze kutubu baada kusema hayo Mpenzi alitubu madhambi zake na kutamka Kalima.Na kisha ghafla kichwa chake kilielemea upande moja na kufariki                                                

Hongereni wafuasi na wapenzi wa Ghaus-e-A'zam kwa sababu Sultani wa Baghdad رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه amesema, ‘kwa mfuasi wangu, hata awe ametenda madhambi kiasi gani, basi hata fariki mpaka afanye toba.’ (Bahjat-ul-Asrar, uk. 191)

3.Nyoyo zipo kiganjani

Sheikh Umar Bazar رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه amesema, ‘‘Safari moja siku ya Ijumaa nilikuwa ninaelekea katika msikiti wa ijumaa pamoja

 



[1] mwongozo wa kiroho

BOOK TOPIC

BOOK TOPIC

Sirat-ul-Jinan

SIRAT UL JINAN

MOBILE APPLICATION

Marfatul Quran

MARIFATUL QURAN

MOBILE APPLICATION

Faizan-e-Hadees

FAIZAN-E-HADEES

MOBILE APPLICATION

Prayer Time

PRAYER TIME

MOBILE APPLICATION

Read and Listen

READ AND LISTEN

MOBILE APPLICATION

Islamic EBooks

ISLAMIC EBOOKS

MOBILE APPLICATION

Naat Collection

NAAT COLLECTION

MOBILE APPLICATION

Bahar-e-Shariyat

BAHAR E SHARIYAT

MOBILE APPLICATION