Listing 5000+ Islamic books in more than 30 languages. Read online or download in PDF.
toweka. Mfalme wa majini alitoa tangazo miongoni mwa majini, ‘Ni nani alimteka nyara msichana?’ muda mfupi tu, jini wa Kichina alikamatwa na kuletwa mbele kama mhalifu. Mfalme akamuuliza, ‘Kwa nini ukamteka nyara msichana kutoka mji wa Quṭb[1] wa zama hizi?’ jini wa Kichina huku akitetemeka na kujibu, ‘Mtukufu! Mimi baada ya kumona tu yakanijia mahaba. ‘Mfalme aliamuru kichwa cha Yule jini wa Kichina kikatwe na kisha kanikabidhi binti wangu
Mimi nikamshukuru mfalme, kwakusema, ‘Wewe ni mpenzi mkubwa wa Sheikh Ghaus-e-A'zam رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه ‘Akajibu: Wallahi عَزَّوَجَلَّ, wakati Ghaus-e-A'zam رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه anapo anza kututazama tu basi, majini wote tuna anza kutetemeka. Na pindi tu Mwenyezi Mungu عَزَّوَجَلَّ akimteua Qutb, majini wote na wanadamu wanawajibika kumtii yeye’ (Bahjat-ul-Asrar, uk. 140)
Mtu mmoja amesimulia tukio lililotokea katika Kutiyana (Gujarat, India), kijiji cha mababu wa Sag-e-Madīna عُفِيَ عَنۡهُ Kulikuwa na mtu katika Kutiyana ambaye alikuwa ana upendo mkubwa sana kwa Ghaus-e-A'zam رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه. Alikuwa akisherehekea Giyārĥwīn kwa taadhima. Tabia yake nyingine na sifa yake ni kwamba yeye alikuwa akionyesha utiiifu mkubwa na heshima kwa Masayyid. Alikuwa mkarimu sana na mwenye kuwajali
BOOK TOPIC
BOOK TOPIC