You Can Also Visit Our Countries Website:
History

Exact Search

Listing 5000+ Islamic books in more than 30 languages. Read online or download in PDF.

Jinnat ka Badshah | Mfalme wa majini

book_icon
Mfalme wa majini

ya kujiunga na Silsilah ya Qadiriyya razawiyya. Ghafla nikapatwa na usingizi, basi macho yangu yalipo jifumba, niliona kwamba sheikh Ghaus-e-A'zam عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الـلّٰـهِ الۡاَکْرَم amekaaa na uso wake ni wenye kumemeta na amekitanda kishali chake, nikasogea mbele na nikakishika kwa upande. Na nikahisi kuwa kuna watu wengine pia wamekishikilia lakini sikuweza kumuona yeyote kati yao. Nikayakariri yale maneno yanayosemeshwa wakati wa bay'ah. Hapo hapo baada tu ya ile bay'ah kumalizika, nikapeleka maombi ya kuwa mke wangu ana mimba na anahisi maumivu makali sana. Na daktari ameshauri afanyiwe upasuaji; basi nipatiwe nafuu na janga hili. Akanijibu, ‘Tumia tiba ya Baghdadi.’ Nikauliza kwa heshima, Ewe Murshid wangu! Muda umeenda na ninatakiwa kuifanya usiku huu huu.’ Akanijibu, ‘Umeruhusika kuifanya katika mchana, kabla ya siku kumalizika na اِنْ شَــآءَالـلّٰـه عَزَّوَجَلَّ utabrikiwa watoto mapacha bila ya upasuaji. Wape watoto wako majina ya Hassan na Mushtaq. Wote hao wawili watakuwa chini ya uangalizi wangu.’ Nikafanya kama nilivyo amrishwa na nilimpatia mke wangu tende kama inavyotakiwa.

اَلْـحَمْـدُ لـِلّٰـه عَزَّوَجَلَّ! Majibu nikayaona hapohapo na yale maumivu yakapotea kabisa, na mke wangu akajifungua bila ya shoda yoyote ile. Ninashuhudia kuwa nilijaaliwa watoto mapacha wawili kama vile Ghauše-A'zam alivyo ni bashiria, na nikawapa majina ya Hassan na Mushtaq kama ilivyo agizwa.’

 

 

BOOK TOPIC

BOOK TOPIC

Sirat-ul-Jinan

SIRAT UL JINAN

MOBILE APPLICATION

Marfatul Quran

MARIFATUL QURAN

MOBILE APPLICATION

Faizan-e-Hadees

FAIZAN-E-HADEES

MOBILE APPLICATION

Prayer Time

PRAYER TIME

MOBILE APPLICATION

Read and Listen

READ AND LISTEN

MOBILE APPLICATION

Islamic EBooks

ISLAMIC EBOOKS

MOBILE APPLICATION

Naat Collection

NAAT COLLECTION

MOBILE APPLICATION

Bahar-e-Shariyat

BAHAR E SHARIYAT

MOBILE APPLICATION