You Can Also Visit Our Countries Website:
History

Exact Search

Listing 5000+ Islamic books in more than 30 languages. Read online or download in PDF.

Jinnat ka Badshah | Mfalme wa majini

book_icon
Mfalme wa majini

ilhali wame elekea Qiblah. Ndio maana, Sheikh Hafidh Sakhāwī رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه amesema, ‘Sababu moja wapo kwamba kwanini Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم  alikuwa akiuelekeza mgongo wake Qiblah, ilikuwa ni kuwaruhusu masahaba waelekee Qiblah. (Al-Maqasid-ul-hasanah, uk. 88)

Sayyidunā 'Abdullah bin Umar رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُ kila mara alikuwa ana elekea Qiblah. (Al Adab al Mufrad, 291 pp., Hadis 1137)

Wakati wa kufundisha Qur’an Tukufu na walimu wenyekufundisha Dars-e-Nizami wakatiwakusomesha wanuie sunnah na waelekeze migongo yao Qibla Ili wanafunzi nyuso zao ziwezekuelekea Qibla, na mwalimu itambidi awafundishe wanafunzi sunnah ya kukaa kwakuelekea Qibla na awemwenye haki ya kupata thawabu.

Wanafunzi wanapaswa kukaa kuelekea Qibla na kumwangalia Ustadh pindi anaposomesha iliuweze kusikia vizuri na kuelewa waweze kumuona Ustadh la sivyo masomo yatakupita.

Ni sunna kwa Khatib wakati wa kutoa khutba ilhali auelekeze mgongo wake Qibala ili wale wanaomsikiliza wamuelekee yeye khatib na hiyo ndiyo Mustahab.

Wakati ukiwa unaisoma Qur'an Tukufu, kusoma vitabu vya dini, au kuandika Fatwa, na kuandaa vitabu, kuombadua, kufanya Zikr, ukiwa unamswalia Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم, wakati wowote ukiwa umekaa chini au umesimama, kama

BOOK TOPIC

BOOK TOPIC

Sirat-ul-Jinan

SIRAT UL JINAN

MOBILE APPLICATION

Marfatul Quran

MARIFATUL QURAN

MOBILE APPLICATION

Faizan-e-Hadees

FAIZAN-E-HADEES

MOBILE APPLICATION

Prayer Time

PRAYER TIME

MOBILE APPLICATION

Read and Listen

READ AND LISTEN

MOBILE APPLICATION

Islamic EBooks

ISLAMIC EBOOKS

MOBILE APPLICATION

Naat Collection

NAAT COLLECTION

MOBILE APPLICATION

Bahar-e-Shariyat

BAHAR E SHARIYAT

MOBILE APPLICATION