You Can Also Visit Our Countries Website:
History

Exact Search

Listing 5000+ Islamic books in more than 30 languages. Read online or download in PDF.

Jinnat ka Badshah | Mfalme wa majini

book_icon
Mfalme wa majini

Ielekeze kata usawa wa Qiblah

Oh wafuasi wa Sultani wa Baghdad! Bila shaka, mapemzi ya dhati kabisa ni kufuata kila kitendo cha Yule umpendae, hivyo basi kama inawezekana kuiweka kata ielekee Qiblah. Muhadithi-al-A'zam maulana wa Pakistani Sheikh Sardar Ahmad رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه alikuwa ameiweka kata yake na viatu vyake muelekeo wa Qiblah. اَلْـحَمْـدُ لـِلّٰـه عَزَّوَجَلَّ, mimi,Sag-e-Madīnaĥ عُـفِیَ عَـنۡـهُ (mwandishi) hufanya juhudi ya kufuata nyayo walizopita wacha Mungu hawa kwa kuiweka kata yangu ya kutawadhia na viatu vyangu kuelekea Qiblah, bali ni matamanio yangu kila kituchangu kiwe kinaelekea Qibla.

Hikaya ya Yule anayekaa kuelekea Qibla

Ndugu zangu Waislamu! Kama ikiwezekana tunavyo elekeza vitu vingine Qibla basi tuwe na mazoea ya kuelekeza nyuso zetu pia Qibla kwani kuna Baraka nyingi sana. Hazrat Imam Burhan-ud-Dīn Ibrahim Zarnūjī رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه akinukuu kusema Twalibuii-Illm wawili walisafiri kwenda nchi za nje kusoma Dini, wote wawili walikuwa katika darasa moja, baada ya miaka waliporudi nyumbani, mmoja wao alikuwa amefudhu elimu hadi akawa Mufti na Ulamaa na mwingine alikuwa hana elimu na kubaki hivyo hivyo. Maulamaa رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه wa mji ule wakaanza kufikiria chanzo chake, walipo fanya uchunguzi jinsi ya kusoma kwao, mwenendo wao, basi ikagundulika kuwa Yule aliyekuwa Mufti pindi anapo soma alikuwa anakaa kwa kuelekea upande wa Qibla. Na mwenzie alikuwa akikaa kwa kuelekeza mgongo

BOOK TOPIC

BOOK TOPIC

Sirat-ul-Jinan

SIRAT UL JINAN

MOBILE APPLICATION

Marfatul Quran

MARIFATUL QURAN

MOBILE APPLICATION

Faizan-e-Hadees

FAIZAN-E-HADEES

MOBILE APPLICATION

Prayer Time

PRAYER TIME

MOBILE APPLICATION

Read and Listen

READ AND LISTEN

MOBILE APPLICATION

Islamic EBooks

ISLAMIC EBOOKS

MOBILE APPLICATION

Naat Collection

NAAT COLLECTION

MOBILE APPLICATION

Bahar-e-Shariyat

BAHAR E SHARIYAT

MOBILE APPLICATION