Listing 5000+ Islamic books in more than 30 languages. Read online or download in PDF.
‘Na katu nyinyi msiseme kwa wale wanaouliwa katika misingi ya nidhamu ya Dini ya Allah-Mtukufu kwamba (wao) ni wafu. Achilia mbali hayo! (Wao) ni hai walakini katu nyinyi hamjui (yale ambayo wao wako ndani yake.)
(Sehemu ya 16, Sura Baqarah, Fungu 154) (tafsiri ya Qur'ani)]
Manabii عَـلَـيْهِمُ السَّلَام wapo hai
Kama hii ni sifa ya mashahidi, basi anawezaje mtu kuwa shaka juu ya ukweli kwamba Mitume عَـلَـيْهِمُ السَّلَام ambao ndio wenye kiwango cha juu katika daraja za mashahidi, je ni pia wapo hai! Sheikh Imam Bayhaqi رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه ameandika kitabu kuhusu maisha (Ḥayātul-Anbiya) ya Manabii رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه na ameandika katika Dalāilun-Nabūwwaĥ kwamba Manabii عَـلَـيْهِمُ السَّلَام wapo hai kama mashahidi na ni pamoja na Allah عَزَّوَجَلَّ. (Al-Havi lil Fataawa, juz. 2, uk. 263) (Dalāilun-Nubuwwah, juz. 2, uk. 388)
Wacha Mungu رَحِمَهُمُ الـلّٰـهُ تَـعَالٰیwapo hai
Sheikh Shah Walīyullāĥ رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه amesema kuhusu hadhi ya Ghaus-e-A'zam رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه katika sura ya 11 ya Ĥam'āt.’ yeye ni Sheikh Muḥiyyuddīn 'Abd-ul-Qadir Jilani رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه ni aliyekuwa hai ndani ya kaburi tukufu lake na yeye رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْه ana hadhi na (ananguvu kama walio kuwa hai). (Ĥam'at, uk. 61)
Hivyo basi, Manabii عَـلَـيْهِمُ السَّلَام na Wacha Mungu رَحْمَةُ اللهِ تَعَالٰی عَلَيْهُم wapo hai na hatutakiwi kuomba msaada kutoka kwa wafu lakini tumeruhusiwa kuomba msaada kwa wale walio hai, na
BOOK TOPIC
BOOK TOPIC