Book Name:Siyah Faam Ghulam

اَلۡـحَـمۡـدُ  لـِلّٰـہِ رَبِّ الۡـعٰـلَـمِیۡنَ  وَ الـصَّـلٰـوۃُ  وَالـسَّـلَامُ عَـلٰی  سَـیِّـدِ  الۡـمُـرۡسَـلِـیۡنَ

اَمَّـابَــعۡـدُ  فَـاَعُـوۡذُ  بِـالـلّٰـہِ  مِـنَ الـشَّـیۡـطٰنِ الـرَّجِیۡمِؕ  بِـسۡمِ الـلّٰـہِ الـرَّحۡـمٰنِ الـرَّحِـیۡمِؕ

MTUMWA MWEUSI*  

 

Vyovyote vile shetani atakavyo kufanya ujisikie uvivu, basi kisome kitabu hichi chote, utakuwa furahani  اِنْ شَــآءَالـلّٰـه عَزَّوَجَلَّ.

 

Ubora wa kumsalia Mtumeصَلَّی اللّٰہ تعالٰی علیہ واٰلہٖ وسلَّم

Mtume wetu mpendwa aliebarikiwa amesema, ‘Jibril
عَـلَيْـهِ الـسَّـلاَم ameniambia kwamba Allah عَزَّوَجَلَّ amesema, 'Ewe Muhammad (صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم)!
Je wewe hupo radhi na* Amir-e-Ahl-e-Sunnat ameitoa hotuba hii mnamo mwezi 12  Rabi’-ul-Awwal (1430 AH) katika jitimai ya maulidi ya Dawat-e-Islami (harakati ya dunia nzima ya kuitangaza Quran na Sunnah isiyo jihusisha na siasa). Imeandikwa katika maandiko pamoja na marekebisho ya lazima.Total Pages: 37

Go To