Book Name:Siyah Faam Ghulam

kunasababisha matamanio basi kumunagalia pia ni dhambi. (Durr-e-Mukhtar, Juz. 6, uk. 98)

Utaratibu wa sunna katika kupeana mikono ni kuwa kusiwepo na kizuwizi kama vile kitambaa n.k baina yenu bali kila kiganja kinatakiwa kigusane na kiganja chengine.  (Bahar-e-Shari'at, Juz. 16, uk. 98)

Ili kujifunza maelfu ya sunna, kanunue vitabu viwili
viliyochapishwa na Maktaba-tul-Madina, ‘Bahar-e-Shari’at’, Sehemu ya 16 (kurasa 312 ) na ‘Sunnatayn aur Adab’ (kurasa120).  Njia moja bora kwa ajili ya kujifunza sunna ni kusafiri katika misafara ya Madani na wapenzi wa Mtume
صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم.

Kumuona Mtume Mtukufuصَلَّی اللّٰہ تعالٰی علیہ واٰلہٖ وسلَّم

Baada ya kumalizika ijitimai ya kimataifa (inayofanyika katika mji wa Multan) ya siku tatu ya Dawat-e-Islami (harakati ya ulimwengni isiyo jihusisha na siasa, ya kuitangaza Quran na sunna) Madani Qafla (misafara) ya wapenzi wa Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم wanasafari kuelekea katika vijiji na miji kwa ajili ya kuifundisha sunna. Baada ya jitimai iliyofanyika katika mwaka 1426, Madani Qafla moja iliotoka katika eneo la Agra Taj (Bab-ul-Madinah, Karachi) walisafiri kuelekea baadhi ya maeneo na wakafikia msikitiniTotal Pages: 37

Go To