Book Name:Siyah Faam Ghulam

Wazazi wake walimpwekesha Allah عَزَّوَجَلَّ

Pindi Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم alipokuwa ndani ya tumbo lenye Baraka la mama yake Sayyidatuna Aminah رَضِیَ اللهُ تَعَالٰی عَنْهَا, baba yake Sayyiduna ‘Abdullah رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُ alikuwa tayari ameshafariki dunia. Na wakati Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم anatimia umri wa miaka 5 au 6, mama yake رَضِیَ اللهُ تَعَالٰی عَنْهَا pia naye akafariki dunia. Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akautangaza utume wakati ana umri wa miaka 40. Kwa hiyo hapa asifikiri mtu kwamba wazazi wake Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم wamefariki dunia katika hali ya ukafiri na wakapatiwa adhabu katika makaburi yao, ndio maana Mtume mtukufu صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akawasilimisha na kuwatamkisha shahada ili awasilimishe kutokana na adhabu ya kaburi. La si hivyo bali kiuhalisia katika maisha yao hawakuwahi kabisa kuabudia masanamu na walikuwa ni miongoni mwa wanao mpwekesha Allah عَزَّوَجَلَّ. Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم akawafufua kwa uwezo wake Allah عَزَّوَجَلَّ na wakaitamka shahada ili wawe miongoni mwa umma wake.

Samaki aliemmeza Nabii Yunus عَـلَيْـهِ الـسَّـلاَم ni samaki wa peponi

Sayyidna Ismail  Haqqi عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الـلّٰـهِ الۡـقَـوِی amenukuu katika Tafsir Ruh-ul-Bayan, ‘Mtume Yunus عَـلَيْـهِ الـسَّـلاَم alibakia katika tumbo la samaki kwa siku tatu, siku saba au sikuTotal Pages: 37

Go To