Book Name:Siyah Faam Ghulam

Pia kuna ushahidi ndani ya hadithi ifuatayo kwamba muislamu atakapo patwa na taklifu au moja ya matatizo au ulemavu basi anatakiwa kuwa na subra ili awe mwenye kustahiki thawabu. Sayyiduna Anas رَضِىَ اللهُ تَعَالٰی عَـنْهُ amesema: ‘Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم amesema kuwa Allah عَزَّوَجَلَّ anasema, “Yeyote katika waja wangu nitakae mtahini macho yake akasubiri, basi nitampa pepo badili ya macho yake.’

(Sahih  Bukhari, . juzuu 4,. 6, hadithi 5653)

8. Ngamia wa ajabu

Kuna mfanya biashara mmoja siku moja alikwenda katika mji wa Makka. Abu Jahl akaenda kununua lakini akafanya udanganyifu katika malipo. Yule mfanya biashara alikasirika sana na akaenda kwa Maquraish na akasema, ‘Kuna mtu yeyote mwenye huruma na mimi akamwambie Abu Jahl anilipe?’

Wakaishiri kwa mtu aliyekuwa amekaa kitako katika kipembe kimoja msikitini na wakamuambia, ‘Kazungumze nae, bila ya shaka yeye anaweza akakusaidia.’ Wale Maqurayshi wakamuelekeza kwa ‘Yule Mtu’ ili kama atakwenda kwa Abu Jahl akamtukane na wao wangeweza kumcheka na waweze kufurahi. Basi yule mfanya biashara akamfuata yule mtu na akamsimulia mkasa wote. Akasimama na akaongozana nae mpaka kwenye nyumba ya Abu Jahl naTotal Pages: 37

Go To