Book Name:Siyah Faam Ghulam

yamekusanya upendo wa kweli kwa Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم. Utayasikiliza maongezi yanayo toa uamsho katika sunna. Imani yako pia itakuwa ni yenye kuimarika sana kwa kukaa kwako na wapenzi wa Mtume صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم. Pendelea sana kuhudhuria katika jitimai zenye uamsho na ikiwezekana pia pendelea kusafiri na Madani Qafla (misafara ya Madani). Jisomee kila siku angalau kitabu kimoja kilicho chapishwa na Maktaba-tul-Madinah na pia sikiliza bayana katika video au katika mikanda ya kasseti.
اِنْ شَــآءَالـلّٰـه عَزَّوَجَلَّ utapata Baraka zisizokuwa na hesabu na utapata malipo mengi ya duniani na akhera

Vipi nilijiokoa na upotofu!

Kukuraghibisha, kuna kisa cha Madani kuhusiana na Baraka zinanzopatikana katika kusikiliza kaseti na CD. Ni simulizi ya kijana mmoja kutoka Malkapur, mji katika miji ya ‘Hind Baghdadi’ (India); ‘Niliishi nje ya nchi yangu kwa muda wa miaka mitano. Nilikaa na watu wenye imani potofu kabisa mpaka imani yangu safi ya Uislamu ilianza kuchafuka. Baadae nikarejea nyumbani India na mikanda ya kaseti 30 na video zenye imani za upotofu. Kwa Baraka za Allah عَزَّوَجَلَّ nikakutana na kijana mmoja Muislamu alievaa kilemba cha rangi ya kijani, alifanya 'infiradi koshish' (juhudi zake binafsi) kwa upole na huruma na akanizawadiaTotal Pages: 37

Go To